Featured

    Featured Posts

MBUNGE WA ZAMANI WA UKONGA DK. MAKONGORO MAHANGA AMEFARIKI DUNIA

CCM Blog, Dar es Salaam
Mbunge wa zamani wa Ukonga kwa tiketi ya CCM Dk. Milton Makongoro Mahanga (Pichani) ambaye baadaye alijiunga na Chadema wakati wa Uchaguzi Mkuu uliopita amefariki dunia.

Katibu wa Chadema Mkoa wa kichama hicho wa Ilala, Jerome Olomi amethibitisha na kusema Dk. Makongoro ambaye alikuwa Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa huo wa Kichama Jijini Dar es Salaam,  amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo Jumatatu, Machi 23, 202







author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana