Timu ya Madaktari ikielekea kutia kambi katika Kata ya Ikola Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi kutoa Elimu na huduma ya matibabu ya Afya ya Kinywa na Meno bila malipo leo Machi 16, 2020
DR. Joseph Tungalanza akiongoza mtumbwi akipiga kasia mara baada ya kutia Timu katika Kata ya Ikola
Katibu wa Afya wilaya ya Tanganyika Mkoa wa Katavi Juliana Mahonda (katikati) akitia saini katika kitabu cha wageni , kulia ni Rais wa Chama cha Wataalamu wa Afya ya Kinywa na Meno Tanzania (TDA) na katibu Mkuu wa chama hicho Gemma Berege
Wanafunzi wa wakisubi kupata huduma za afya ya kinywa na meno
Mwakilishi kutoka wizara ya afya, Angela Sijaona akizungumza jambo na wananchi na wanafunzi wa Kata ya Ikola waliojitokeza mara baada ya Madaktari hao kutia Timu katika Kata hiyo
Daktari Bingwa wa Afya ya Kinywa na Meno kwa Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili Dkta. Gustav Rwekaza akimpatia uchunguzi mmoja wa watoto waliofika katika Kata ya Ikola Wilaya ya Tanganyika Mkoa wa Katavi kupata huduma hiyo ya Afya ya Kinywa na Meno akiwa na mama yake mzazi Madaktari wakiwa katika maadalizi
Madaktari wakiwa katika maadalizi
Post a Comment