Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa Salamu za Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa Wananchi wa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla.
Pia aliwatakia waislamu wote mfungo mwema wa Mwezi huu wa Ramadhani kwa kufanya ibada mbali mbali ikiwemo sadaka na zaka na mengineyo pia kuondokana na mikusanyiko isiyofaa kuyaepuka maradhi yaliyoingia Duniani kote na kufuatana maelekezo yanayotolewa na Viongozi wao pamoja na kujihifadhi na kuyashinda mambo mbali mbali yanayobatilisha funga kwa ujumla.
Post a Comment