Featured

    Featured Posts

KESI ZA CORONA ZAFIKIA 24 TANZANIA

“Wizara inathibitisha kuwepo kwa kesi mpya nne za maambukizi ya corona zilizopatikana DSM, Mwanza na Zanzibar na kufanya jumla ya kesi 24 zilizoripotiwa tangu kuanza kwa ugonjwa huu Tanzania, wagonjwa hawa ni pamoja na wawili ambao wametolewa taarifa na Waziri wa Afya Zanzibar April 05,2020”-Waziri wa Afya Ummy Mwalimu.

“Wagonjwa wawili wapya wa corona Tanzania Bara ni Mwanaume(41) Raia wa Tanzania, mkazi wa Mwanza aliyeingia Tanzania kutoka Dubai kupitia uwanja wa ndege wa JNIA na kuelekea Mwanza na mwingine ni Mwanaume (35) Raia wa Tanzania, mkazi wa DSM, mfanyabiashara, wote wapi chini ya uangalizi wa watoa huduma” - Ummy Mwalimu.

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana