Featured

    Featured Posts

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI LEO DODOMA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mpwapwa, George Lubeleje, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 16, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kuteuliwa  Shamsi Vuai Nahodha, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 16, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mussa Azzan Zungu akiwasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha kwa mwaka 2020/2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana