Askati wa Usalama barabarani (wa tatu kushoto) akizungumza na kupata maelezo kutoka kwa madereva wenye nyombo vya moto baada ya kugongana eneo la Kisutu katika makutano ya kituo cha Mabasi ya mwendokasi kilichopo eneo hilo Jijini Dar er Salaam leo Mei 11, 2020. (wa katikati) ni Dereva wa Pikipiki yenye namba za usajili MC 919 BJC, Ambaye ni Askari Polisi na wa kwanza kuli ni Dereva mwenye Gari lenye namba za Usajili T 810 DMK. japo hakuna aliyeumia (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Askari Polisi akijaribu kuinua pikipiki yake yenye namba za usajili MC 919 BJC eneo la tukio na kupisha Mabasi ya mwendokasi
Post a Comment