1: Walitaka kutuuzia mavazi ya madaktari na manesi kwa bei ya laki 3 kila moja JPM akasema tutashona wenyewe kwa bei ya elfu 30
*PIGO LA KWANZA HILO*
*PIGO LA KWANZA HILO*
2:Barakoa kutoka nje zikaanza kuwa adimu na kupanda bei JPM akasema watanzania kila mtu ashone yake zikashuka bei zikauzwa hadi buku
*PIGO LA PILI HILO*
*PIGO LA PILI HILO*
3: Wakaleta Lockdown ili tujifungie tusifanye kazi watuletee misaada kwa masharti yao JPM akasema no HAPA KAZI TU wakashindwa.
*PIGO LA TATU HILO*
*PIGO LA TATU HILO*
4:Wakaleta vipimo feki ili watanzania wengi waonekane na corona tena wakatabiri wagonjwa wa corona watafikia laki5 hadi mwezi may JPM akapeleka mapapai na oil wakashindwa
*PIGO LA NNE HILO*
*PIGO LA NNE HILO*
5: Wakaanza kutangaza vifo kwa kila anayekufa kuwa kafa na corona ili watanzania wapate hofu na kufa JPM akainuka na kusema watanzania tusiogope Corona ni ugonjwa kama mengine tusiwe na hofu tukaitikia na kwa sasa hakuna tena taarifa zao za vifo
*PIGO LA TANO HILO*
*PIGO LA TANO HILO*
6: Madereva wa Tanzania kila anayepimwa anakutwa na corona ili tu waue soko la utalii wetu lakini hakuna anayekufa wala kupona hii ilitaka kuzuia wageni wanaotaka kuja nchini wajue Tanzania kuna corona JPM akasema wapimeni upya huku wakakutwa hawa corona Baba akasema Fungua utalii na hakuna kuwaweka karantini
*PIGO LA SITA HILO*
*PIGO LA SITA HILO*
*kama hujajua siasa za mabeberu basi hutaelewa njia anayoitumia raisi wetu Chuma John Pombe Magufuli.*
*VIVA JPM, Nawe Ongeza Mapigo Mengine yaliyo waingia Sawasawa.*
*VIVA JPM, Nawe Ongeza Mapigo Mengine yaliyo waingia Sawasawa.*
*Na mchambuzi wako wa kisiasa na uongozi wa jamii*
*Jonathan Lucas Kamwavah a.k.a King Suleyman*
Share katika ma group mengine ili kuelimisha Umma .
Post a Comment