Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi akipokea kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Madagascar Tehindrazanarivelo Djacoba As Oliva msaada wa dawa ya kukinga na kutibu ugonjwa wa Corona iliyotolewa na Madagascar kwa Tanzania.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi akimshukuru Waziriwa Mambo ya Nje wa Madagascar Tehindrazanarivelo Djacoba As OlivaWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Madagascar Tehindrazanarivelo Djacoba As Oliva alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Antananarivo kwa ajili ya kupokea msaada wa dawa ya kukinga na kutibu na ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na Virusi vya Corona uliotolewa kwa Tanzania na nchi ya Madagascar.
Post a Comment