Featured

    Featured Posts

WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA DKT. MWIGULU AWASILI OFISINI

  Waziri wa Katiba na Sheria Mwigulu Nchemba akikaribishwa Ofisini na Katibu Mkuu Wa Wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Ernest Mchome.
Waziri wa Katiba na Sheria Mwigulu Nchemba akiwa na baadhi ya viongozi wa Idara hiyo, Kushoto kwake ni Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Ernest Mchome, Kulia kwake ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dr. Adelardus Kilangi, pamoja na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Amoni Mpanju
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana