CCM BLOG yamtakia heri Mzee Pius Msekwa kwa kusherehekea kumbukizi ya Siku ya kuzaliwa kutimiza miaka 85 ya kuzaliwa kwake.
Pius Msekwa (alizaliwa Juni 9, 1935) ni ambapo mwaka 1995 hadi 2005 alikuwa spika wa Bunge Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa la Tanzania.
Nyadhifa alizowahi kuwa nazo ni; Mwenyekiti wa Chama cha Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola (CPA) kati ya mwaka 1999-2002, pia Mjumbe wa Kamati ya Kurekebisha Sekta ya Sheria katiba ya mwaka 1993-1994 na Mjumbe wa Tume ya Rais ya Kuangalia Mfumo wa
Vyama vya Siasa nchini kati ya mwaka 1991-1992.
Nyadhifa nyingine ambazo amewahi kuzishikilia; ni Uenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi katika Mamlaka ya Maendeleo ya Mitaji kati ya mwaka 1985-2000 na Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi katika Chuo cha Uongozi wa Wanyamapori barani Afrika kati ya mwaka 1985-2000. Vilevile aliwahi kuwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu kati ya mwaka 1984-1989, Mwenyekiti wa Baraza la
Uongozi katika Chuo cha Ushirika Moshi mwaka 1984, Mjumbe wa Tume ya Kurekebisha Sheria mwaka 1983 na Mjumbe wa Kamati ya Rais ya Kupunguza Matumizi ya Serikali kati ya mwaka 1982-1983.

Post a Comment