MWANACHAMA wa Chama cha Mapinduzi CCM, Mussa Aboud Jumbe, akipokea mkoba wenye fomu za kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kuwa Rais wa Zazibar, kutoka kwa Katibu wa Idara ya Oganaizesheni Zanzibar, Galos Nyimbo, hapo ofisi ya chama Kisiwandui Mjini Unguja. Mussa ni mtoto wa Rais wa zamani wa Zanzibar, Hayati Aboud Jumbe. (PICHA ZOTE NA ABDALLA OMAR).
Post a Comment