Rais Dk. John Magufuli akiendesha moja ya pikipiki ambazo alizikabidhi kwa Maafisa Tarafa wa nchi nzima katika hafla ya ufunguzi wa Jengo la Ofisi za Makao Makuu ya TARURA mjini Dodoma
Rais Dk. John Magufuli akipiga akizindua jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa Barabara za lami zenye jumla ya km 51.2 katika mji wa Serikali (Mtumba) mkoani Dodoma leo
Rais Dkt. John Magufuli akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mitambo itakayotumika katika katika ujenzi wa Barabara za lami yenye jumla ya km 51.2 katika mji wa Serikali (Mtumba) mkoani Dodoma leo. Pamoja naye ni Waziri wa TAMISEMI Suleiman Jaffo na kushoto kwake ni Waziri wa Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi
Rais Dk. John Magufuli akikata utepe kufungua jengo la Ofisi za Makao Makuu ya TARURA mjini Dodoma
Rais Dk. John Pombe Magufuli akizindua Jengo la Ofisi za Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji lililopo Makole jijini Dodoma. Picha zaidi kuhusu matukio hayo, Tafadhali >>BOFYA HAPA
Post a Comment