Rais Magufuli ametangaza kumsamehe aliyekuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye, kutokana na kiongozi huyo kuomba msamaha. Rais amesema licha ya kumsamehe, hatomrudisha Zimamoto, badala yake atapangiwa kazi sehemu nyingine.
“Nimeangalia kwanza mnavyopendeza na nyuso zenu zinanionyesha kwamba mmetubu, nimewasamehe leo, aliyekuwa Kamishna wenu simrudishi ‘Fire’ lakini nitamtafutia kazi ameshaniomba msamaha mara nyingi, yaliyopita si ndwele” Rais Magufuli
Post a Comment