Barozi wa Uturuki nchini Tanzania, Ali Davutoglu (wa nne kushoto ) akiwa na baadhi ya wageni kutoka Uturuki ambao wamekuja kusherekea sikukuu ya Eid Alhaj na kutoa sadaka kwenye familia zisizo jiweza. Kulia ni Mwakilishi kutoka Tasisi ya Humanitarian Aid Organization, Shaban Yusuph ambayo ipo hapa nchini. Wengine kutoka kushoto ni Farid Mnakatu, Samih Çavuş, Murat Aydın na Kassim Akın (wa pili kulia). PICHA NA ASHRACK MIRAJI
Post a Comment