Featured

    Featured Posts

DK. BASHIRU ALLY APOKEA GARI MAALUM LITAKALOTUMIWA NA TOT WAKATI WA KAMPENI ZA CCM KWENYE UCHAGUZI MKUU WA MWAKA HUU

Gari maalum ambalo litatumiwa na Kikundi cha Tanzania One Thetre (TOT) wakati wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, leo limewasilishwa Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma na kupokewa rasmi na Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally ambapo amelikagua ikiwemo kujaribu lkuliendesha kidogo. Zifuatazo ni picha mbalimbali wakati Katibu Mkuu huyo akilikagua gari hilo. 
Muonekano wa gari hilo
Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally akiwa katika gari hilo
Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally akilijaribu kuliendesha huku dereva wa gari gilo Hassan Omar  akimweleza jambo
Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally akilikagua gari hilo
Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally akilikagua gari hilo.
KATIBU Mkuu wa CCM, Dk. Bashiru Ally, akiagana na dereva wa gari hilo Hassan Omar, baada ya kuilikagua Makao Mkuu ya CCM jijini Dodoma. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dk. Abdulla Juma Mabodi.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana