Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambaye ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Saadala (Mabodi) alipowasili katika Viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo, kuongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kwa ajili ya kuhakiki na mustabali wa kutafuta na kumuweka Rais mpya wa Zanzibar.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambaye ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akilakiwa na wajumbe baada ya kuwasili katika ukumbini katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo, kuongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kwa ajili ya kuhakiki na mustabali wa kutafuta na kumuweka Rais mpya wa Zanzibar. Kulia kwake ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan na Kushoto kwake ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Saadala (Mabodi).
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambaye ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimia wajumbe baada ya kuketi. Kushoto ni Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dk.Abdalla Juma Saadala (Mabodi) akifungua kikao hicho.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambaye ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiongoza kikao hicho.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambaye ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiongoza kikao hicho.
Wajumbe wakiwa kwenye kikao hicho
Wajumbe wakiwa kwenye kikao hicho
Wajumbe wakiwa kwenye kikao hicho.( Picha na Ikulu na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Post a Comment