Featured

    Featured Posts

JPM AONGOZA MKUTANO MKUU WA CCM JIJINI DODOMA

 Mwenyekiti wa CCM, Rais John Magufuli akiongoza mkututano Mkuu wa 10 wa CCM, Kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

 Wajumbe wa Mkutano Mkuu wakiserebuka wakati wa mkutano huo bendi ya TOT ilipokuwa ikitumbuiza
 Marais wastaafu wakiwa katika kkutano huo


 Katibu Mkuu mstaafu akimpigia debe Mgombea
Rais mstaafu, Ali Hassan Mwninyi akimnadi kwa wajumbe Mgombea, John Magufuli
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana