Grace Anderson
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Grace Anderson, amejitosa kutia nia ya kuomba ridhaa ya CCM kugombea Ubunge Viti Maalum mkoa wa Kilimanjaro. Zisome sifa zake zifuatazo baada ya maelezo haya.. A. MAELEZO BINAFSI:
Jina la ukoo: Saria
Jina : Grace Anderson
Jinsia: Kike
B. ELIMU:
Shahada ya pili ya Ufuatiliaji na tathmini ya miradi ya afya (Master of science in Health Monitoring and Evaluation M&E ) Mzumbe University Morogoro 2015- 2017, Stashahada ya uzamili (Postgraduate diploma in Community Development) Moshi CooperativeUniversity2014- 2015, Stashahada ya tiba kwa njia ya vitendo (Diploma in Occupational Therapy )Tumaini University, Kilimanjaro, Christian Medical College 2000- 2003, Astashahada ya uuguzi ( Trained nurse ) Dareda Nursing school Catholic Diocese of Mbulu 1994-1997, Astashahada ya ukunga (Midwife), Dareda Nursing school Catholic Diocese of Mbulu.1997-1998,
Maarifa ya Nyumbani Ushonaji (Home Science,Tailoring and Needle work)Lole chuo cha ufundi 1987, Elimu ya sekondari Shule ya sekondari(Ordinary level ) shule ya secondary Vunjo 1988-1991, National Form IV certificate, Elimu ya msingi Shule ya msingi Maringa chini 1980-1986,
C. AJIRA:
Muajiriwa wa Manispaa ya Moshi idara ya afya tangu 2010 na nimekuwa na uzoefu wamiaka 7 kwenye kazi ya uongozi( CHMT) nimepata mafunzo mbalimbali na nimekuwa TOT kwenye mifumo ifuatayo ya afya District Health Information System (DHIS2) (MTUHA),kaizen BRN Kaizen quality improvement And resource Management na ni mzoefu kwenye planning hasa Web Based planrep na (HRIS ) Human Resource Information System kwa miaka 7.
D. UZOEFU SIASA:
Mwanachama hai tangu enzi za uwanafunzi nina kadi ya uanachama ccm No:AC2315681na ya umoja wa wanawake ANo.1173844 umoja wa wazazi FNo. 903897zilizotolewa katika kata ya Kilimanjaro kata ya Mawenzi moshi mjini.
Mjumbe wa serkali za mitaa kata ya Mawenzi 2019
Katibu wa UWT mtaa wa Mawenzi 2010-2013
Mjumbe kwenye kamati ya bonde la mto pangani 2008
Mjumbe kwenye katiba pendekezwa tawi la Mawenzi 2014
Chipukizi kwenye matawi ya shule ya msingi Maringa chini na sekondariya Vunjo na mshiriki kwenye gwaride za kupokea mwenge kwenye wilaya ya moshi vijijini kwa kipindi chote cha elimu ya msingi na sekondari
E. JAMII:
Muasisi wa taasisi inayohudumia wazee na walemavu kilimanjaro (AMRCO)Anderson Memorial Rehabilitation & Care Organization. 2018.
Muasisi wa chama cha kusaidia wafugaji wa kuku Kilimanjaro CHAWAKUKI na ni katibu tangu 2013
Mmojawapo wa washiriki wanaoandaliwa kuwa TOT katika mradi wa kuinua wafugaji kiuchumi unaodhaminiwa na Tanzania na netherland mradi wa miaka 3 unajulikana KUKUA NA KUKU
Katibu kwenye chama cha kutetea abiria Tanzania(CHAKUA) mkoa wa Kilimanjaro
Post a Comment