Mkurugenzi wa Matango Cashewnut na Mtunza Kumbukumbu Hospitali ya Chikongola Mtwara, Tatu Matango akiwaonesha Korosho kutoka Mtwara wateja mara walipotembelea Banda la Chama Cha Wafanya Biashara Wanawake Tanzania (TWCC) katika Maonesho ya 44 ya Kimataifa viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kilwa Julai 7, 2020 Dar es Salaam. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA).
Mkurugenzi wa Matango Cashewnut na Mtunza Kumbukumbu Hospitali ya Chikongola Mtwara, Tatu Matango akimpatia mteja wake korosho aonje aliyefika Banda la Chama Cha Wafanya Biashara Wanawake Tanzania (TWCC) katika Maonesho ya 44 ya Kimataifa viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kilwa Julai 7, 2020 Dar es Salaam.. .
Mkurugenzi wa Matango Cashewnut na Mtunza Kumbukumbu Hospitali iliyopo Chikongola Mtwara, Tatu Matango akijaribu kupanga biasha yake ya Korosho ambapo anauza Jumla na rejareja
Post a Comment