DK. SHEIN AKUTANA NA VIONGOZI WIZARA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali katika kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha Mwaka 2020/2021 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,(kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pembe Juma (kulia) akiwasilisha taarifa ya Utekelezaji ya Mpango kazi wa Wizara hiyo kwa mwaka 2020/2021 katika kikao kilichofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar (wengine) Naibu Waziri Mhe.Simai Mohamed Said (katikati) na Mshauri wa Rais Pemba Dk.Mauwa Abeid Daftari. Picha na Ikulu, Zanzibar
Post a Comment