Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Songoro Marine, Saleh Songoro kukagua ujenzi wa Kivuko cha Mafia unaofanyika Kigamboni jijini Dar es salaam, Agosti 13, 2020. Kivuko hicho kitakapokamilika kitafanyakazi kati ya kisiwa cha Mafia na Nyamisati Mkoani Pwani.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Songoro Marine, Saleh Songoro kukagua ujenzi wa Kivuko cha Mafia unaofanyika Kigamboni jijini Dar es salaam, Agosti 13, 2020. Kivuko hicho kitakapokamilika kitafanyakazi kati ya kisiwa cha Mafia na Nyamisati Mkoani Pwani. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wafanyakazi wa Kampuni ya Ujenzi wa Meli ya Songoro Marine baada ya kukagua ujenzi wa Kivuko cha Mafia unaofanyika Kigamboni jijini Dar es salaam, Agosti 13, 2o2o. Katikati ni Mkuu wa wilaya ya Kigamboni Sarah Msafiri na kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Songoro Marine, Saleh Songoro. Kivuko hicho kitakapokamilika kitafanya kazi kati ya Kisiwa cha Mafia na Nyamisati Mkoani Pwani. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment