Mgombea ubunge mteule wa Jimbo la Manonga, Igunga mkoani Tabora, Seif Khamis Gulamali akitia saini wakati anarejesha fomu kwa Msimamizi wa Uchaguzi na kutangazwa kuwa mgombea wa jimbo hilo kupitia CCM. Alikuwa Mbunge wa Jimbo hilo katika kipindi kilichopita.
Gulamali akionesha dole gumba ikiwa ni furaha baada ya NEC kumteua rasmi kuwa mgombea. |
Post a Comment