Mgombea ubunge Jimbo la Manyoni Magharibi, Yahaya Masare akiwa na fomu aliyokabidhiwa na Msimamizi wa Uchaguzi kumteua rasmi kuwa mgombea wa jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu ambao kampeni zake zinaanza leo na kumalizika Oktoba 27. Uchaguzi Mkuu utakuwa Oktoba 28, mwaka huu. Aliopiga picha nao ni wanaCCM waliomsindikiza kurejesha fomu.
Masare akisoma maelezo yaliyomo kwenye fomu
Masare akisaini kwenye kitabu
Post a Comment