Magazeti ya leo, gazeti la mwananchi, global publisher, habari leo, habari mpya, ippmedia,magazeti ya leo tanzania, magazeti ya udaku, michuzi, michuzi blog, mpekuzi huru, mwananchi, mwanaspoti,nipashe, sekretarieti ya ajira
Mgombea ubunge Jimbo la Songwe, kupitia Chama Cha Mapinduzi, Philipo Mulugo amepita bila kupingwa baada ya wapinzani wake wa CHADEMA na ACT-WAZALENDO kuenguliwa kwa kutokidhi vigezo vya uchaguzi. Mulugo alikuwa mbunge kipindi kilichopita.
Post a Comment