Magazeti ya leo, gazeti la mwananchi, global publisher, habari leo, habari mpya, ippmedia,magazeti ya leo tanzania, magazeti ya udaku, michuzi, michuzi blog, mpekuzi huru, mwananchi, mwanaspoti,nipashe, sekretarieti ya ajira
Bondia Hassan Mwakinyo wa Tanzania (kushoto) akimpigia hesabu mpinzani wake, Tshibangu Kayembe kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) wakati wa pambano la raundi 12 kuwania ubingwa wa Mabara wa WBF uzito wa Super Welter usiku wa kuamkia leo ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam. Mwakinyo alishinda kwa pointi.
Post a Comment