Featured

    Featured Posts

TUJIKUMBUSHE KAMPENI ZA MAGUFULI 2015; DK MAGUFULI AZIDI KUCHANJA MBUGA KAMPENI ZA URAIS TABORA


Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, akijinadi kwa wananchi wakati wa mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Al Hassan Mwinyi, mjini Tabora. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA  Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Kinana  akielezea wasifu alionao Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli unaofanya afae kuwa rais wa Tanzania.
 Mjumbe wa Kamati ya Kampeni za CCM, Samuel Sitta akizungumza katika mkutano wa kumnadi Mgombea urais wa CCM Dk John Magufuli. Sitta ametangulia mbele ya haki na Mungu azidi kuiweka roho yake mahali pema peponi. Amen.
 Dk Magufuli akijadiliana jambo na mjumbe wa kamati ya kampeni ya CCM, Abdallah Bulembo wakati wa mkutano huo wa kampeni
 Wasanii wa  kikundi cha Ze Orijino Komedy wakitumbuiza wakati wa mkutano huo
 Sehemu ya  umati wa wananchi  katika mkutano wa kampeni za CCM MJINI Tabora


 Dk Magufuli akiwa na baadhi ya wanachama wapya wa CCM waliojiunga wakati wa mkutano huo
 Komredi Kinana akihutubia katika mkutano huo

Dk. Magufuli akiwapungia wananchi

Mama akiwa amejipamba na picha ya Dk. Magufuli.
Dk. Magufuli kihutubia wananchi akiwa amekaa juu ya gari.
Ni furaha kwa kwenda mbele baada ya kumuona Mgombea urasi wa CCM, Dk. Magufuli



Dk. Magufuli wa CCM akihuubia katika mkutano wa kampeni mjini Nzega
Wananchi wa Nzega, Tabora  wakishangilia baada ya Dk. M

Bashe na Kigwangala wakijadiliana jambo


Mgombea ubunge Nzega Vijijini, Kigwangala akijinadi pamoja na kumnadi Dk Magufuli katika mkutano uliofanyika Nzega Mjini
Mgombea ubunge Nzega Mjini, Hussein Bashe akijinadi yeye pamoja na kumnadi Dk Magufuli mjini Nzega.
Abdalah Bulembo ambaye alikuwa mmoja wa makampeni Meneja  wa kampeni za CCM, akihutubia alipokuwa akimnadi Dk Magufuli


Dk Magufuli akimnadi mgombea ubunge  Taobora Kaskazini Uyui, Almas Maige.
Ntimizi akijinadi kwa wananchi ili achaguliwe katika Jimbo la Igalula, Tabora
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana