Featured

    Featured Posts

MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR RAIS DK. SHEIN AONGOZA KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA TAIFA YA CCM ZANZIBAR

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdalla Juma Mabodi alipowasili katika Viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar, kuongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Zanzibar, kilichofanyika leo 15/8/2020.

Wajumbe wakimlaki kwa kusimama, Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, alipowasili katika Ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar, kuongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Zanzibar, kilichofanyika leo 15/8/2020.
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akiwa amesimama na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Zanzibar, Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Pili Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na  Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdalla Juma Mabodi, baada ya kuwasili katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar, kuongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo 15/8/2020, katika ukumbi huo.

NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdalla Juma Mabodi, akitoa utangulizi wakati wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Zanzibar, kilichofanyika katika Ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, akiongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Zanzibar, kilichofanyika katika Ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar. Kushoto ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM  Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan na kulia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM  Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.

 WAJUMBE wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Zanzibar, wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein.akifungu Kikao hicho kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana