Rais wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia ametembea kiwanja cha mpira kilichojengwa wilayani Karatu mkoani Arusha na kijana wa kitanzania,nakupongeza uwekezaji uliofanyika ikiwemo matumizi ya nyasi za kawaida zakunyeshewa maji nakusema watashirikiana naye katika kuinua vipaji ikiwa ni pamoja nakupeleka timu za vijana
Kwa upande wa mmiliki wa uwanja huo Nickson Marik ameipongeza serikali kwa jinsi inavyoshirikiana naye pamoja na uongozi wa TFF uliotembelea eneo hilo
“Tunashukuru kwa uongozi wa TFF,tutoe pongezi kwa serikali imekuwa ikitusupport haya yote ya wamu ya tano tusingeyafikia kama sio serikali”-Nickson
Post a Comment