Picha za Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli zikiwa zimepambwa kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma ambapo uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi Mkuu utafanyika kesho Jumamosi.
Kijana muuza korosho Jamali Mohamed, akiangalia picha ya Mgombea Urais wa Tganzania kupitia CCM, Dk. Magufuli iliyopambwa kwenye Uwanja wa Jamhuri.
Mambo yalivyo Uwanja wa Jamhuri Dodoma.
Bendera za Chama Cha Mapinduzi zikiwa zimelipamba Jiji la Dodoma.
Post a Comment