Featured

    Featured Posts

MWANASIASA MKONGWE WA ZANZIBAR MZEE HASSAN NASORO MOYO AFARIKI DUNIA

 

Mwanasiasa mkongwe Visiwani Zanzibar ambaye aliwahi kushikilia nafasi mbalimbali kwenye Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na ya Muungano wa Tanzania, Mzee Hassan Nassor Moyo (Pichani), ameaga dunia.

Taarifa zinaeleza kuwa Mzee Moyo amefariki katika Hospitali ya Bombo mjini Tanga, na mwili wake ulitarajiwa kupelekwa leo Zanzibar kwa ajili ya maziko.

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana