Msafara wa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli baada ya kutoka kuchukua fomu hizo za kugombea Urais kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi jijini Dodoma leo
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Makamu wa Rais na Mgombea Mwenza katika Uchaguzi Mkuu Mhe Samia Suluhu Hassan wakionesha fomu zaudhamini kwa wanachama wa CCM wa Dodoma baada ya kutoka kuchukua fomu hizo za kugombea Urais kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi jijini Dodoma leo.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Makamu wa Rais na Mgombea Mwenza katika Uchaguzi Mkuu Mhe Samia Suluhu Hassan wakiomba udhamini baada ya kuchukua fomu hizo za kugombea Urais kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi jijini Dodoma leo.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akionesha Ilani ya Uchaguzi wakati akikongea na wanachama wa CCM wa Dodoma baada ya kutoka kuchukua fomu hizo za kugombea Urais kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi jijini Dodoma leo
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikongea na wanachama wa CCM wa Dodoma baada ya kutoka kuchukua fomu hizo za kugombea Urais kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi jijini Dodoma leo
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikongea na wanachama wa CCM wa Dodoma baada ya kutoka kuchukua fomu hizo za kugombea Urais kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi jijini Dodoma leo
Post a Comment