Featured

    Featured Posts

YANGA YAPATA KOCHA MPYA RAIA WA SERBIA

 



KLABU ya Yanga imetangaza Kocha Mkuu Mpya  Zlatko Krmpotic raia wa Serbia akichukua mikoba ya Luc Eymael aliyekuwa akikinoa kikosi hicho.

Kocha huyo anatarajiwa kutua kesho Agosti 29 akiwa amepewa dili la miaka miwili kuinoa Klabu ya Yanga.
Kwa mujibu wa Injinia Hers Said amesema kuwa wamefikia makubaliano ya kumpa kandarasi kocha huyo baada ya kamati kujadili na kupitia majina ambayo walikuwa nayo.

Amewahi kuwa bingwa wa Klabu bingwa wa Afrika akiifundisha TP Mazembe pia alikuwa akiinoa Klabu ya Polokwane City pia ameshawahi kufundisha Zesco United ,APR
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana