Featured

    Featured Posts

ARSENAL WAICHAPA LIVERPOOL KWA MATUTA NA KUBEBA NGAO YA JAMII ENGLAND

 

Wachezaji wa Arsenal wakishangilia na Ngao ya Jamii baada ya ushindi wa penalti 5-4 dhidi ya Liverpool jana jioni Uwanja wa Wembley Jijini London.

Arsenal ilitangulia kwa bao la Nahodha wake, Pierre-Emerick Aubameyang dakika ya 12 kabla Takumi Minamino kuisawazishia Liverpool dakika ya 73. 

Waliofunga penalti za Arsenal ni Reiss Nelson, Ainsley Maitland-Niles, Cedric Soares, David Luiz na Aubameyang na za Liverpool walifunga Mohamed Salah, Fabinho,  Minamino na Curtis Jones,wakati Rhian Brewster alikosa 

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana