Featured

    Featured Posts

DK. SHEIN AMUAPISHA KAZI KUWA JAJI MKUU WA MAHAKAMA KUU YA ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akimuapisha George Joseph Kazi kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar, Ikulu Mjini Zanzibar, leo. Awali Jaji Kazi alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria.
Majaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar na Mawakili wakiwa katika hafla ya kuapishwa George Joseph Kazi kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi akisalimiana na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zubeir Ali Maulid wakati wa  hafla hiyo ya kuapishwa  George Joseph Kazi kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar
 
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana