Featured

    Featured Posts

MAJALIWA ATINGA UK. KUSAKA KURA ZA CCM, AFURAHI KUKUTANA NA MZEE MSEKWA

Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Pius Msekwa, baada ya kushuka kwenye kivuko cha MV Ilemema, wakati alipowasili mjini Nansio wilayani Ukerewe Mwanza, katika mkutano wa kampeni za CCM, Septemba 23, 2020. 
Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akiwahutubia wananchi wa mjini Nansio wilayani Ukerewe Mwanza, katika mkutano wa kampeni za CCM, Septemba 23, 2020.
Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akishuka kwenye kivuko cha Mv Ilemema, wakati alipowasili mjini Nansio wilayani Ukerewe Mwanza, katika mkutano wa kampeni za CCM, Septemba 23, 2020. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana