Mbunge mmoja wa Kenya amekamatwa kufuatia madai ya kutumia maneno ya kumtusiamshi Rais Uhuru Kenyatta wiki iliyopita.
Gazeti la Daily National la nchini humo limeripoti taarifa ya Oolisi ikisema Mbunge huyo Johanna Ng’eno anatuhumiwa kwa kutumia maneno ya matusi kumdhalilisha rais huyo.
Kanda ya video inayomuonesha mbunge huyo akizungumzia mgogoro kati ya Rais Kenyata na Naibu wake William Ruto imezua gumzo kali katika mitandao ya kijamii.
https://ift.tt/2GHyGpp
Post a Comment