Featured

    Featured Posts

MGOMBEA WA UBUNGE JIMBO LA KILOMBELO ABUBAKARI ASENGA ASEMA PIGA UA 'MAGUFULI MITANO TENA',


Nimesikia wapinzani fulani-fulani wanaema eti Rais Magufuli kaleta maendeleo ya vitu na siyo ya watu, sisi wana Kilombelo tunasema tunataka hivyo vitu kwa sababu vitu hivyo vinatumiwa na watu kwa sababu sisi ndiyo tunavitumia. Rais Maguli katujengea daraja Kilombelo, Wanakilombelo wote tutampa kura zote.... Mbowe anasema eti Magufuli kajenga Uwanja wa Ndege kule Chato, Uwanja ule ni wa Wananchi, Mbona kule Kilimanjaro umejengwa Uwanja wa Ndege (KIA) pale Moshi liliko jimbo lake, tusema kajengewa yeye? huu ni upuuzi mtupu, .... Halafu wanasema eti CCM inajaza kwa sababu ya Wasanii, Wasanii wenyewe wanajua nani mbaya wao... Wanajua CCM ndiyo kipenzi chao ndiyo maana wanaifuata...
Sisi Wana Kilombelo na Watanzania Wote tunasema piga ua, MAGUFULI MITANO TENA. Sasa hebu nisimalize uhondo msikilize mwenyewe kwenye clip hii 👇👇

 
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana