Featured

    Featured Posts

MKUTANO WA UZINDUZI AWAMU YA TATU YA KAMPENI CCM KONGWA



Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi kitabu cha Ilani ya utekelezaji wa CCM 2020/25  Mbunge mteule wa Jimbo la Kongwa Dodoma Mhe. Job Ndugai kwenye Mkutano wa Uzinduzi wa awamu ya tatu ya kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika leo Septemba 27,2020 katika Uwanja wa  Shule ya Sekondari Zoisa Mkoka Kongwa Mkoani Dodoma.

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Mkutano wa Uzinduzi wa awamu ya tatu ya kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 27,2020 zilizofanyia katika Uwanja wa  Shule ya Sekondari Zoisa Kongwa Mkoani Dodoma.

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana Mtoto Leopatra Michael (6) Mwanafuzi wa Darasa la 2 katika Shule ya Msingi Ndachi Kongwa Mkoani Dodoma alipokutana nae katika Kijiji cha Songambele akiwa njiani akielekea katika Uwanja wa  Shule ya Sekondari Zoisa Kongwa kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa Uzinduzi wa awamu ya tatu ya kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 27,2020


Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Kongwa Dodoma wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  alipokuwa akihutubia mkutano wa uzinduzi wa awamu ya tatu ya kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 27,2020 zilizofanyika katika Uwanja wa  Shule ya Sekondari Zoisa Mkoka Kongwa Mkoani Dodoma.


 
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana