Featured

    Featured Posts

VideoTUMEUMIZWA SANA NA TUKIO HILI, WAKAMTEKA WAKAMUUA KADA WETU KIJANA IMETOSHA-POLEPOLE


Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole akizungumza na vyombo vya habari, jijini Dodoma leo, kuhusu mauaji ya Kada kijana wa chama hicho ambaye alikuwa  Mwenyekiti wa UVCCM Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Iringa, Emmanuel Mlelwa na kulitaka Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi haraka kuwabaini waliofanya mauaji hayo. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA
 
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana