Featured

    Featured Posts

RAIS MUSEVENI ALIVYOTUA CHATO, AJIRA KUMWAGWA BOMBA LA MAFUTA+VIDEO


Rais wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli leo Chato amempokea Rais wa Uganda Yoweri Museveni na wote wakatia saini mkataba wa utekelezaji wa mradi wa Bomba la Mafuta ambapo kwa miaka 25 au zaidi wakati wa utekelezaji wa mradi huo, Serikali ya Tanzania itapata manufaa ya kikodi zaidi ya Tsh. Trilioni 7.5 pia ajira zaidi ya 10,000 kabla ya ujenzi na zaidi ya 8000 wakati wa utekelezaji wa mradi.

 

 

TAZAMA LIVE, RAIS MAGUFULI NA RAIS MUSEVENI WAKIONGEA BAADA YA KUTILIANA SAINI

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana