Mkurugezi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa akizungumza na waandishi wa habari leo, kuhusu uzinduzi rasmi wa treni ya abiria itakayoanza safari yake Dar es salaam kwenda Arusha. Uzinduzi huo utafanyika 2/10/2020 jijini Arusha. Pia ndugu Kadogosa ametangaza punguzo la asilimia kumi na tano kwa wasafiri wa treni hiyo kwa kipindi cha mwezi mzima badala ya Sh.17,500 hadi 16,000 kutoka Dar es salaam mpaka Arusha.
Post a Comment