Featured

    Featured Posts

Video: DK KABATI AONGOZA KUZITAFUTA KURA ZA DK MAGUFULI KWA WAHUDUMU WA BAA IRINGA

Mbunge Mteule wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa kupitia CCM, Dk. Ritta Kabati akielezea sera nzuri za CCM kwa wanawake na mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Tano alipokuwa akifanya kampeni  kwa kuzungumza na wahudumu wa Baa za Manispaa ya Iringa Mjini ikiwa ni sehemu ya mikakati ya kutafuta kura za Mgombea Urais wa Tanzania kupita CCM, Dk. John Magufuli, Mgombea Ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia CCM,  Jesca Msambatavangu pamoja na wagombea udiwani wa CCM.



Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake  Tanzania  (UWT)CCM  Iringa Mjini, Ashura Jongo akiomba kura kwa wahudumu wa baa katika kikao maalumu kilichofanyika mjini Iringa.



Mama mpambanaji Dk. Kabati akizisaka kura za wagombea wa CCM zitakazofanya CCM ipate ushindi wa kishindo katika Uchaguzi Mkuu  unaotarajiwa kufanyika Oktoba 28, mwaka huu.
 
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana