Featured

    Featured Posts

Video: DK KABATI AONGOZA WANAWAKE KUZISAKA KURA ZA USHINDI KWA CCM GEREZANI, HOSPITALI

 Mbunge Mteule wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa kupitia CCM, Dk. Ritta Kabati leo amewaongoza wanawake katika maandamano ya kwenda kuwatembelea wafungwa gerezani na Hospitali kuwafariji wagonjwa  ikiwa ni sehemu ya kampeni ya kutafuta kura za ushindi kwa wagombea wa CCM katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 28, mwaka huu.

 Katika maandamano hayo, Dk Kabati pamoja na wanawake wengine aliambatana pia na viongozi wa CCM wa mkoa huo, akiwemo Mgombea Ubunge wa Iringa Mjini kupitia CCM, Jesca Msambatavangu na wagombea udiwani.

Ili nisimalize uhondo nawaomba muendelee kutazama video hii  iliyosheheni tukio hilo.

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana