Katibu Itikadi na Uenezi wa CCM, akionoza mkutano huo baada ya Dk Magufuli kuwasili ukumbini tayari kuzungumza na wazee wa mkoa wa Dodoma.
Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Ali Bashiru akitaja baadhi ya miongozo ya kampeni waliyoifanyia kazi wakati wa kampeni.
Dk. Magufuli akizungumza na wazee wa mkoa wa Dodoma kwa niaba ya watanzania alipokuwa akihitimisha kampeni za CCM.
Viongozi wa dini wakiomba sala na dua kuuombea Uchaguzi Mkuu ufanyike kwa amani na utulivu na kupata kiongozi bora.
Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, John Malecela akimpigia debe DK . magufuli na wagombea wengine wa CCM.
TOT wakitumbuiza wakati wa mkutano huo
Spika wa Bunge, Job Ndugai ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, akiongea neno la kuhitimisha kampeni na kuwaomba wana Dodoma na watanzania kesho kumpigia Dk Magufuli, wabunge na madiwani wa CCM.
Post a Comment