Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Mbeya Mjini, amemtangaza Dr. Tulia Ackson wa CCM kuwa ndiye mshindi wa nafasi ya ubunge kwa jimbo hilo ambaye amepata kura 75,225, akifuatiwa na Joseph Mbilinyi wa CHADEMA aliyepata kura 37,591.
“Nichukue fursa hii kuwashukuru sana wapiga kura wa Jimbo la Mbeya Mjini kwa heshima kubwa waliyonipa” – Mshindi wa Ubunge Jimbo la Mbeya Mjini, Tulia Ackson
Post a Comment