Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Hai , amemtangaza Saashisha Mafuwe wa CCM kuwa ndiye mshindi wa nafasi ya ubunge kwa jimbo hilo ambaye amepata kura 89,786, akifuatiwa na Freeman Mbowe aliyepata kura 27,684.
“Nawashukuru Wananchi wa Hai kwa kunichagua kwa kura nyingi za kutosha, nawashukuru kwa kura nyingi mlizompa Dr.Magufuli, namshukuru Kaka yangu Mbowe amekuwa Mbunge kwa muda mrefu Hai naamini tutaendelea kushirikiana”– Mafuwe baada ya kutangazwa Mshindi Ubunge Hai
Post a Comment