Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Mtoto Mita Matenda (13) Mwanafunzi wa Darasa la 5 Shule ya Msingi Kilando Nkasi Kaskazini ambae ni Mlemavu wa Viungo alipokutana nae kwenye Uwanja wa Polisi Kilando Nkasi Mkoani Rukwa baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM kwa Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Nkasi Kaskazini leo Oktoba 10,2020. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) |
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Kilando Nkasi Kaskazini alipowasili katika Uwanja wa Polisi Kilando Nkasi Mkoani Rukwa kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Oktoba 10,2020.
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Kilango Nkasi Kaskazini wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akuhutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika uwanja wa Polisi Kilando Nkasi Kaskazini Mkoani Rukwa leo Oktoba 10,2020.

Post a Comment