Featured

    Featured Posts

MGOMBEA UDIWANI CCM GONGO LA MBOTO RUTAINURA AAHIDI MAKUBWA

Baadhi ya wagombea udiwani wa Jimbo la Ukonga kupitia CCM, Wakishikana mikono ikiwa ni ishara ya kumuombea kura Mgombea Udiwani wa Kata ya Gongo la Mboto, Lucas Rutainura kwenye viwanja vya Kampala Gongo la mboto huku mgombea udiwan wa pungu station Shaban Mussa akiwaomba wananchi wajitokeze kwa wingi waweze kuwapigia kura na kuwapa ridhaa ya kuwatumikia na kuleta maendeleo.PICHA NA ASHRACK MIRAJI)

Mgombea Udiwani Kata ya Gongo la mboto, Lucas Rutainura akiwa anafunga kampeni kwenye viwanja vya Kampala akiwaomba wananchi wampigie Kura Oktoba 28.

Mgombea huyo ameahidi kuwajengea soko wakazi wa Ulongoni, kuboresha miundombinu na kujenga kituo Cha afya.Aliwaomba wamchagueMgombea Urais wa chama hicho, Dk John Magufuli na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ukonga, Jerry Slaa ili waweze kuleta maendeleo kwa pamoja.


 Kada wa CCM ambaye pia ni Mwanasheria, Nikson Tugara akijadili jambo na Mgombea Ubunge Jimbo la Ukonga, Jerry Slaa wakati wa mkutano huo wa kampeni.


 Baadhi ya viongozi wa Chadema Kata ya Gongo la Mboto wakirudisha kadi na kakabidhiwa kadi za CCM walipoamua kuhama na kujiunga na CCM wakati wa mkutano huo.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana