Featured

    Featured Posts

SIKU YA UCHAGUZI MKUU HAKUNA USAFIRI WA KWENDA ZANZIBAR

 


Ikufikie hii kutoka Mamlaka ya Usafiri wa Baharini Zanzibar (ZMA) imetangaza kusitisha safari zote za Boti na Meli za abiria na mizigo Jumatano ijayo, Oktoba 28, 2020 ili kutoa fursa kwa Wananchi kupiga kura.


author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana