Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Rais Dk. John Magufuli akicheza mziki wa Singeli na Msanii wa muziki huo Dula Makabila wakati wa Mkutano wake wa kampeni uliofanyika leo katika Viwanja vilivyopo Kinyerezi, Wilayani Ilala jijini Dar es Salaam. Kulia Ni Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole.
Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi katika Mkutano wake wa Kampeni uliofanyika leo Kinyerezi, Ilala jijini Dar es Salaam
Wananchi wakishangilia wakati wa mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo Kinyerezi jijini Dar Ilala Jijini Dar es Salaam.
Wananchi wakiwakwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo Kinyerezi jijini Dar Ilala Jijini Dar es Salaam
Wana CCM wakishangilia wakati Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Magufuli alipowasili kwenye Mkutano wake wa kampeni uliofanyika Kinyerezi, Ilala jijini Dar es Salaam, leo
Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Rais Dk. John Mafuguli akiwaonyesha dole gumba wananchi waliomshangilia alipowasili kwenye mkutano wake wa kampeni uliofanyika leo Kinyerezi, Ilala Dar es Salaam.
Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Rais Dk. John Mafuguli akifurahia jambo alipowasili kwenye mkutano wake wa kampeni uliofanyika leo Kinyerezi, Ilala Dar es Salaam.
Post a Comment